Recent content by log base 10

  1. log base 10

    Jamani nisaidieni nimuoeje huyu dada wa kiislamu

    ZINGATIA: 1.Katika dini ya kiislamu,Mwenyezi Mungu amekataza Muislamu kuolewa/kuoa mtu tofauti na Uislamu. 2.Pia hairuhusiwi kwa mtu kubadili dini ili aolewe au aoe.Mfano,ikatotea wewe ukabadili dini ukawa Muislamu lengo umuoe huyo dada,basi Mungu amekataza au mwanamke awe muislamu ili aolewe...
  2. log base 10

    "ualimu ni kupoteza muda"

    Kwa kawaida kila kiumbe Mwenyezi Mungu amekiandikia riziki yake,vile vile neema huwezi kuiona umuhimu wake mpaka itakapo ondoka!,swala la utajir ni mipangilio ya mtu mwenyewe.Mi ninaye Mwl wangu,anafundisha Primary lakin ana nyumba 3 za maana na amepangisha na ana mashamba ya michungwa na gari...
  3. log base 10

    Galaxies for sale...

    Mi nataka S4,ila sijafahamu ina GB ngap internal,na nitaipataje maana nipo Kagera!
  4. log base 10

    Tuisome hii topic pia anataka lakini anaogopa nimfanyeje.

    Habar ndugu?,Aah kwanza jua umemkosea Mungu wako halafu kibaya zaidi unajisifia kwny jf,kwa dini yeyote haikubaliki,ushaur wangu kwako OA,katika tatzo kama hlo utapewa mafunzo ya kuishi na mke na hasa katika mapenz au unaweza kusoma vitabu mbalimbal maandalizi yote ya mahaba hata mwanamke...
Back
Top Bottom