umaskini wa akili ni mbaya sana yaani mtu unaweza kudliki kumtetea jambazi eti kisa kakupa hela umsafishe,shame kwa wote mnao mtetea jangili wa wanyama pori. Mnasema ni kiboko kwa wapinzani wakati juzi katoa mapovu yake pele kilosa alipo toka wananchi wamemuonyesha kwenya uchaguzi wa vijiji
mti wenye matunda ndio unaopofolewa mawe,hizi ni dalili kuwa CDM safari ya magogoni ikotayari ingawa wanaoishi pale hawataki kuondoka lakini people's poooooooooooooooowerrrrr,itawang'oa hatawafanyeje
Baada ya Nchemba kujitosa kichwa kichwa kwenye sakata la ardhi Loliondo wamasai warudisha kadi za ccm magamba na kumkabidhi fuko la kadi kuonyesha jinsi walivyo wachoka a.k.a magambas.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.