Recent content by LkOrg

  1. LkOrg

    Kwanini simu nyingi siku hizi haziwekwi H+?

    Oppo zipo za 5G ni wewe tu kwenda kuzitafuta madukani
  2. LkOrg

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Jifunze programming acha uvivu, Ukatengeneza kitu kwa mikono yako kinakuwa pure! Na rahisi kuweza kukimantain. Take time learn how to code your own app.
  3. LkOrg

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Kama wewe ni mgeni kwenye Industry ya programming basi, unatakiwa uanze kujifunza masuala ya programming, Na ili uweze kujifunza programming utahitaji kuzijua programming languages, hizi ndizo zitakazo kuwezesha wewe kujifunza namna ya kutengeneza app. Kwa upande wa kutengeneza hizo app,zipo...
  4. LkOrg

    Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

    Uko sahihi kaka maana mshikaji aliahidi kutufundisha mpaka mwisho lakini amepotelea mitini
Back
Top Bottom