Recent content by LJMK

  1. LJMK

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Hamad apinga CUF kuungana na CHADEMA

    "Waliopo madarakani tumewachoka na hatuwataki, na mnaotaka kuingia madarakani hatuwaamini!" Nchi ya majuha hii, hivi wapinzani msipoungana mtawezaje ing'oa ccm wehu wakubwa nyie! Ndio maana wenzenu ktk salamu zao wanasema mapinduzi daima! mtapinduliwa hadi kiama, mazuzu nyie!!!
  2. LJMK

    JamiiForums Tanzania Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    hivyo ni kwa mtazamo wako binafsi, wa kuwajibishwa ni Ndugai na ndiye chanzo cha vurugu zile. Hauko sawa ukimlenga Sugu au wewe nawe ni walewale!!!!
  3. LJMK

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

    Vp na wengine wametumia kiac gani! au takwimu ulizonazo ni za CDM tu!!!
  4. LJMK

    JamiiForums Tanzania PICHANI: NAPE akisaidia ujenzi wa shule ya sekondari KASULU! Hizi Pia ni Pesa za CCM?

    Mnafiki huyu, hivi hawa jamaa mbona wanatuletea mambo ya bongo movies!
Back
Top Bottom