Okay this is well noted ahsante, nitaadd maelezo zaidi kwenye next thread mkuu ila to get started user anasign up tu kwa kuweka emails, phone no, username ili kupata account then anawekewa 10sms kwenye account. Yes makato yapo utakapoanza kutuma SMS ambapo kila SMS ni Tsh 25Tsh na bei inakua...
Je, unatengeneza APP au website ambayo itahitaji Bulk SMS / API SMS?
Kama wewe ni mmoja wa Developers wa Website au App na ungependa kutumia mfumo wa API SMS/ Bulk SMS, bado hujachelewa hata kidogo.
Unachotakiwa kufanya ni kufungua akaunti Bongo Live bure na baada ya kufungua utawekewa sms...
Habari!!
Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program?
Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji za kutuma kwa watu wengi kwa wakati mmoja.
Kupitia program hii unaweza ukaanzisha biashara yako ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.