Recent content by lizeli

  1. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Asante, tutajaribu kuwatafuta hao wa Financial Crime ila TAKUKURU sikuwa na uhakika kama wanaweza kuhusika kwenye hili. Thanks Mkuu!
  2. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Kwenye hii kampuni (hawa wakurugenzi especially Managing Director) ni watu ambao watu wengi waliingia out of trust kwamba huwezi amini kama wanaweza kufanya hivyo. Hata kama mikataba ilikuwepo, trust ndio ilitawala sana. Lakini ndio hivyo kumbe hujui mtu anaweza hata kutumia status yake katika...
  3. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Mkataba upo na pia bank slips za pesa ambazo tume-deposit kwenye account ya Jog zote zipo.
  4. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Tumejaribu kufanya hivyo Pwani (Mkuranga) wakatuambia tuje Dar manake Kampuni ipo huku na wakurugenzi wanaishi huku. Dar nako wanasema ni kama hawaoni jinai. Thanks
  5. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Asante. Hii nayo inahitaji msaada manake sisi hatuwezi kumkamata mtu. Ukiona tumemwaga jamvini kuna mahali tunakwama mkuu. Nashukuru sana!
  6. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Asante sana. Kumkamata mtu pia inahitaji msaada ukiona mpaka tumekuja hapa jamvini mambo yamesuasua mahali fulani ndugu yangu. Nashukuru kwa ushauri wako
Back
Top Bottom