Recent content by lizdjoy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

    Ndugu wewe mke wa pili nini maana unavyotetea
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ultra- Sound kwa wanawake

    Kwa wajawazito kipimo cha utra sound kwa hospital za serikali ni 10,000 na hospital binafsi 15000 hadi elfu 30000
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Asanteni wote wana jamii forum mlionisaidia mawazo na ushauri pia,nimejishajifungua salama kwa njia tu ya kawaida shukran na utukufu ni kwa muumba
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Mimba ya tatu,ya kwanza nina mtoto ana miaka 6 ya pili ilitoka ikiwa na mwezi 1 mwaka jana november ya tatu ndio hii,ya kwanza nilijifungua on time tarehe ile ile ya makadirio
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Asante
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Yeah ni kweli hiyo ndio ilikuwa makadirio
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Nitakutafuta kaka
  8. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Ni kweli uyasemayo dada ila nazidi pata hofu coz tarehe yenyewe ni leo na bado sina dalili zozote zile
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Tarehe ya mwisho ilikuwa 15/01/2015
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Nilienda hospital kubwa samahani mtoto kukaa vibaya inachangia kukosa uchungu?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kiume huchelewa kuongea?!

    Hata mimi nimeliona kwa mwanangu alikuwa na miaka 4 ila bado kuongea ilikuwa shida na kucheza alikuwa anacheza sana nje na watoto wenzake but kajua kuongea vizuri alipofika 6
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Asante ndugu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Habari, Mimi ni mwanamke nina umri wa miaka 28 na ni mjamzito. Tatizo linalonikosesha raha ni kuwa nimepitiliza tarehe yangu ya kujifungua na hata zile wiki mbili za nyongeza zimepita. Nimeenda hospitali jana kuonana na doctor akasema nisubiri hadi tarehe 9 then kama bado niende wakajue...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amenisaliti na kuweka picha ya kimada Instragram, Hanijali na nina mimba

    Mimi nilikuwa mkristo wa roma but nimebadili dini nakuwa muislam honest najuta now
Back
Top Bottom