Mimi napendelea kusoma maswala ya Information technology na Networks sasa nashindwa kuelewa nichukue kozi gani maana baadhi ya watu wananambia IT na ICT zote ni sawa tu lakin naona kuna baadhi ya vyuo wanazitenganisha hizi kozi pia nikijalibu kuangalia ada ya kusoma ICT Mfano chuo cha MUST ni...
Wakuu pole na majukumu.
Mimi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu natarajia kujiunga na chuo mwezi wa kumi. Naomba natamani kujua kozi gani ni nzuri na yenye nafasi kubwa ya kujiajiri nikimaliza masomo yangu.
Kozi hizo ni kozi ya IT na kozi ya ICT
Naomba ushauri wenu wanaJF
ASANTE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.