Matatizo kama haya yanajitokeza au kusababishwa na KUWEPO KWA TAASISI ISIYO IMARA (weak institution) kwasababu tukiwa na Strong institution hatatkipata mawaziri wapigaji kama kina nape au kipara watanyooka tu na kubanwa na misingi ya TAASISI imara mambo ya rushwa na extravance kwa fedha za umma...
Tatizo nikwamba mmejaa unafiki bila aibu, malengo yenu nikusifia nakupata teuzi kwaajioi ya matu bo yenu, kipindi cha mwendazake kwann hamkukemea mabaya yake? Unatoaje sifa pasipostahili?
Matatizo yanayo ikumba jamii Ni mengi sana MAJI HAKUNA, UMEME WA MGAO unamsifia vip mtu?
Tupeni majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.