KWENYE NAMBA MBILI TOFAUTI NIMEPOKEA MESEJI HIZI. MWANAJAMHURI leo ni tarehe 26.10.2022. Jione una umuhimu sawa na wengine kuchangia ulinzi shirikishi sh.20,000 mwezi wa 10.Wasiliana na Mtenga 0712775292.
kaa mbali na huu utapeli, ikumbukwe kuna "BULK SMS technology" kupitia technologia hii...
Naeleza niliyoyashuhudia,
Nilipokea simu toka kwa Binti wa dukani kwangu, kwamba amekamatwa na anapelekwa Manispaa kwa kufanya biashara bila leseni. (Binti wa dukani alikuwa mgeni na Leseni ililipiwa,leseni inatolewa ndani ya siku tatu za kazi baada ya kulipiwa.
Zoezi la ukaguzi wa leseni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.