Mkuu Jiulize kwanza hiyo milioni 1.2 uliipataje? Kama uliipata kwa kufanya shughuli furani bas mkuu usiiache hiyo shghur just unachotakiwa kufanya ni kuongeza value katika hiyo shughur iliyokuletea hiyo milioni 1.2, usiingie kweny biashara mpya hiyo pesa bado ni ndogo
Biashara ya Nazi.
Habari zenu wakuuu
Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa.
1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es Salaam kwa jumla na rejareja.
2. Pia kama Kuna viwanda vyovyote ambavyo huwa vinahitaji nazi Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.