nikiamini kuwa mungu ndie alie waweka basi yee ndiyo atawatoa ila kama mungu alivo wapa sababu ya kukamatwa kwao basi pia ataleta sababu ya kutelewa kwa .. inawezekana hii ikawa sababu amaa ikatokea sababu nyengine bora zaidi ya haii na siku zote mungu humpa mtu mitihina mtu ili amuombe ndio...
HUZUNI ZA MAMA WA MTUHUMIWA ANTAR HUMUD NATUMAI ZITACKILIZWA... BAADA YA KUPITA MIAKA 5 KUEKWA MAHABUSU MWANAWE KWA KUSHABIHISHWA NA KESI AMBAZO HANA MAHUSINO NAZO
assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi kuongezeka machungu na shida na mfarakano na umaskini wa familia na miaka kila siku tunaihesabu ikiongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.