Recent content by LISTER

  1. L

    Mchango wa Rais Mkapa katika Mwalimu Nyerere Foundation

    Kikubwa zaidi aliacha mjane wa baba wa taifa anyang'anywe eneo msasani na swahiba wake na mkapa aliyekua anapiga matofali
  2. L

    Mgomo wa Madaktari na wanaharakati wetu

    Ni wakati sasa watanzania kwa ujumla wetu tutambue serikali sio wamiliki wa mali zatu ni wasimamizi tu sasa sisi wenye mali tunapenda madaktari walipwe vizuri ili waweze kuhudumia afya zetu vizuri sioni kwa nini serikali haitaki kutii matakwa ya wenye mali na hii inaeenda sambamba na jinsi...
Back
Top Bottom