Shida iliyoko ktk hii kada,95% ya walimu wanatoka familia maskin sasa akipata hiyo nafasi kwanza hata walimu wenzie hawaambii tena anaona bonge la chance hapo utawala unapowapiga walimu lkn nesi anaenda semina siku tatu anarud na zaid ya ml 1+ lkn mwalimu hata kuhoji n mara fuku! Nchi mwl...
Utofauti ya Jiwe na Hagaya n jinsi tu lkn tabia zao n zile zile! Heche na Lema kama walimanisha ubora ktk uongozi kwa kweli wamewakosea sana wananchi! Shida upinzan nchi haueleweki cjui kwa nn? Wananchi wanapotaka kuwaunga mkono mmoja atachomoka na kuchafua hali ya hewa na kuuchukukia upinzan...
Hawa watu wametoka familia bora akina lizione huyo atapata tabu wapi? Kuna watu wanaropoka katika kutoa kauli zao juu ya watumishi,watumishi wrngi n tegemez huwez kujaji kitu kama hujafanya tafiti! Mwl wa degree aliyefanyq kaz zaid ya miaka 10 mshahara wake sawa na mtumishi wa certificate...
Uko sahihi sana ndg,huyu aliyeleta huu Uzi kwanza sio mtumishi wa serikali na kama mtumishi utakuta anafanyia kaz TRA ambako wao national housing ambako mtu wa certificate analipwa mshahara wa mwl wa degree hapo mtakuwa sawa? Aache umama huyo
Hii haki iko kisheria au n matamko tu na kama kunakifungua Cha sheria naomba hicho kifungu kinachotaja haki za mtumishi kama ulivyoziainisha ktk andiko lako tafadhari
Bei ingekuwa 100000 to and fro hakika shirika lingejiendesha lenyewe make ndege a ngekuwa zinajaa abiria mpaka zingetapika! Sasa mbeya dar utasikia 400000+
Kati ya waziri anaeongoza kumpotosha rais n waziri wa fedha anaejiita Dr! Huyu jamaa huwa simuelewi ktk kutengeneza hoja zake sijui lengo lake n nn kwa nchi yetu!
Kuna baadhi ya wabunge ambao n innocent walishawishiwa na akina mdee et all kuleta kiburi kisa mdee akijifanya mjuaji wa mambo bila kujua wanapotezwa sana! Kwa ujumla walipaswa kujirudia mapema kabla ya kufikia hii hatua! Huyu Nusrat si ndo alipigwa na polisi hafu huyu huyu tena anarudi kuungana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.