Wewe unataka ushahidi wa nini kutoka kwa Lema?,Zitto aendelee kukana ndo utakua ushahidi wako tosha hata alipoenda kutibiwa INDIA akane pia kwamba hakwenda kutibiwa uko
Katibu wa chama cha mapinduzi (ccm) tawi la Afrika Kusini , Ndg, Paul Pius Albino Mkoba (pichani)anatafutwa na baadhi ya watanzania waishio nchini humo, kwa kuwatapeli fedha, zenye thamani zaidi ya shilingi milion 37 za kitanzania, amabazo ni sawa na Randi 200,000 za nchini humo.
Ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.