Recent content by Lipugwaju

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Kumbe! Honda Fit gari poa sana. Hazina changamoto hata moja
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Mi nataka tuzungumzie kuhusu changamoto za honda Fit ambazo watumiaji wamekuwa wakikutanaza nazo Asante
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Bila shaka hatujaelewa mada Nimesema Watumiaji wa Honda Fit Tushirikishane uzoefu wa changa moto. Mtu anaweza kuuliza chochote kuhusu honda fit. Ni kwa wale wanaotumia Honda Fit. Sijui mmenielewa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    GD Itapendeza
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    GD itapendeza
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
  7. L

    JamiiForums Tanzania Car diagnosis-Naomba ufafanuzi wa OBDII readings Tafadhali

    Nakubali ushauri wenu wakuu, naanza shule.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Car diagnosis-Naomba ufafanuzi wa OBDII readings Tafadhali

    1. STFT ni (-2.3% ) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C 2. STFT ni (-6.2%) na LTFT (-14.8%) maana yake nn at 91C 3.STFT ni (-13.3%) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C 4.STFT ni (-0.8%) na LTFT (-17.2%) maana yake nn at 54C 5. Halafu mbona zinatofautiana na zote at idle 6. Absolute...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Car diagnosis-Naomba ufafanuzi wa OBDII readings Tafadhali

    Tafadhali Wataalamu, naombeni mnisaidie ufafanuzi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Honda Fit inatoa mlio wa gu gu guuuu kwenye vishimo hata kwenye mwendo mdogo,

    Boss nime Twist unalia kada kada kada kada
Back
Top Bottom