Recent content by Lional

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

    Mil 7 kasoro
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

    Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

    Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je huwa inawezekana kuhama.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo

    Da kwa hiyo mwaka huu umenipita
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo

    Muhimbili ni sehemu ipi ya kuombea mbona sipaoni third round
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo

    Mfano muhimbili wamesema application closed na udsm,
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo

    Mbaka sasa sijapata chuo,third round mbona sipaoni
  8. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi gani ya kuomba

    Hakipo kwenye orodha
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi gani ya kuomba

    Bado TCU wameongeza muda
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi gani ya kuomba

    Mimi nimemaliza PCB,Nina div 1.8 nimeomba MD nimekosa,ni kozi nyingine nzuri naweza kuomba kwa point niliyonayo?
Back
Top Bottom