Vyama vya wafanyakazi wa nchi hii ni tatizo hasa viongozi,viongozi wa ivi vyama wana maisha mazuri kuliko wana chama wao kuwa wako kwenye payroll kila mwezi.
Ungekuwa Kenya Leo mabango yangesomeka tofauti,lakini Tz wakitishwa kuwa nitatengua viono,wanafyata mikia
Bwana mdogo hebu jitie akili kidogo.
Siongelei kulima kwa wingi, Bali kilimo cha chakula cha kulisha mwaka mzima,pia siongelei MAHINDI tu Kijana.
Mimea ya chakula ni pamoja na uwele,mtama Mpunga na jamii ya mikunde.
Magugu wanalima Mpunga,mwaka wakikosa kwa sababu ya ukame utasema hawatakuwa na...
Wewe ndiye kichaa wa kwanza nchi hii.
Dodoma nimeishi,MAHINDI yalimwa nami nilisha Lima maeneo ya mmoja na songambe, mpwpw pia inatoa mahindi bahati na singida ni maeneo ninayoyafahamu vizuri. Unaongea ukiwa una kula kwa baba na mama yako
Saalam jf!
Mods uacheni Uzi wangu tena msiunganishe na mwingine wowote please. WE DARE TO TALK OPENLY.
Toka mwanzo wa kuingia madarakani Rais magufuli amekuwa akitamka Mara nyingi kuwa,
1. Mtetezi wa wanyonge na mlinzi wa raslimali za watanzania.
2 Tanzania ni tajiri,anataka iwe donor...
Wataalam wa kukadiria, hebu fanyeni makadirio ya gharama za msafara wote pamoja na hela zinazomwagwa kama mtama mbele ya njiwa,maana naona kama siyo serikali yote IPO huko basi NUSU yake.
Mkuu kwakuwa nimegusa ugawaji hela kwenye msafara wa mwenyekiti wako,ukajisahaulisha kwa muda kuwa kuna maeneo mengi ya nchi yamekosa mvua na kuna hatari kubwa ya njaa.!!
Mche Mungu ili uone,kuuseme na kuuishi ukweli,ondokana na ushetani,upovu na uziwi unaosababishwa na siasa maslahi.
Dodoma...
Amejiandaa la baa la njaa linakokuja mbele,au serikali haina shamba au jiko!?
Mnagawa hela kwenye nsafara wakati maeneo mengi yamekosa mvua mimea ya chakula imeungua na jua.
Je mmejiandaa kuwahami watakaoathirika na njaa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.