Recent content by Lincol

  1. L

    live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

    2kopamoja kamanda...
  2. L

    live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

    kamanda hassan ameanza kwa kutangaza nia ya kugombea udiwan katatya kati kama atapewa ridhaa na chadema ungana nasi moja kwa moja. Mch msigwa ndan ya nyumba Updates....... Naibu meya wa jiji ndio anahutubia..mh lema ndo ameingia nw Updates...kamanda mushi anasema '' kama kuna aliekuja...
  3. L

    Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    BRN iwe chachu ya mabadiliko ss ikumbuke hawa wazima moto wa msitu kwanza na sio wale wanaokaa Sinza, Mbezi na kwingine hawa ndio walinzi wa hii rasilimali. Hivi unadhani mwanakijiji anayekaa Kilosa, Mufindi, ibwanz, na vijiji jiran watanufaika na nini toka uhuru wanazalisha nguzo za mbao...
  4. L

    Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Tatzo lipo wizaran kwake kuna watu wamenyimwa ulaji kuhusu vibali ss wanajaribu kutengeneza mazingira yatakayo wanufaisha wao na siwana mufindi.. Kwa hali ilivyo ss msitu utakuwa hatarin sana kutoweka kwa kufanyiwa hujuma wasipo angalia maslai ya wanamufindi na watanzania kwa ujumla..mpaka ss...
  5. L

    Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Kinachotakiwa wana mufindi tuwe na msimamo yan msitu babu zetu watoe ardhi wapande miti tuzime moto ss halafu waje wahindi wao wa dsm kuja kununua kwa mnada halafu waanze kutu dalalia vibali....haaya mambo wanafufindi tunahitaji mshikamano mpaka kieleweke
  6. L

    Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Hii wizara ina urasimu sana walisema watatoa vibali kwa mnada hivi kweli mwananchi wa kule mufindi ambaye amechukua mkopo mucoba tena wa mwaka mmoja uliokuwa na riba kubwa unamwambia akashindane kwenye mnada na matajiri wa dar kweli hii ni haki wakat hawa ndio wakwanza ikitokea msitu unaungua...
Back
Top Bottom