Recent content by Lilnasser

  1. Lilnasser

    Breaking news:afya watoa post

    ukienda wizarani matokeo unayapata but ukitaka kwenye wbsite ndo wana upload
  2. Lilnasser

    Breaking news:afya watoa post

    UTABISHIA HADI KIFO WEBSITE ipo down for maintainance muda huu
  3. Lilnasser

    Breaking news:afya watoa post

    mi mwenyewe nilitaka kwenda bt nimeambiwa makaratasi ni mengi balaaa nimeamua nisubiri waya upload
  4. Lilnasser

    Breaking news:afya watoa post

    Hayawi hayawi sasa yamekua hatimaye wizara ya afya wamebandika majina ya waliochaguliwa katika makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo AKIBA kwa wale wa DSM NB:Kwenye mtandao bado hawaja upload
  5. Lilnasser

    UMEMZIMIA MREMBO::ukamuahidi kumuoa::baada ya ku-do b4 haujamfeel::SASA JE?

    utamu unao mwenyewe,kwake unafata utelezi tu. :amen:
  6. Lilnasser

    Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

    unaacha tu nb:winners never quit and quitters never win
  7. Lilnasser

    Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

    Maka sasa wengi walioomba nafasi za kusoma katika vyuo vya AFYA bado wapo kwenye wakati mgumu hasa pale wanaposikia kuwa kuna ushindani balaa. je,ni lini Wizara ya AFYA itaziwasilisha post hizo ili kila mtu ashike ustaarabu wake?
Back
Top Bottom