Recent content by liliannaibala

  1. liliannaibala

    Msaada: Mtoto kufunga choo

    Mama anywe Trevo mtt atanyonya kwa mama na itamsaidia mtt kupata choose.
  2. liliannaibala

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Mbna die hatukusema ya TBC Na startv?Allah kumbe mkuki kwa nguruweeeeh. Na kina rich unasema wamekatalia nchi kwa ya kwao?
  3. liliannaibala

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Mbn miaka yote wa ccm walikua hawashiriki hili la ukawa tu ndo mmeliona?
  4. liliannaibala

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Wanamtafuta kwa kila njia lkn hawampati ng"o. Viva Ukawa.
  5. liliannaibala

    Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Nadhani muda wa kujinadi haujafika na pia watanzania tumechoka na mameno tunataka vitendo
  6. liliannaibala

    Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Mmmh mtoa post unauhakika na usemacho? Uliona wakipewa pesa ya petrol? 4 ur information Lowasa hua anafuatwa Tuu na watu wanaotaka mabadiliko kwenye hii Nchi. Hua hamwambii mtu amfuate.
Back
Top Bottom