Kwa wasiomjua Lowassa watasema mengi sana. Lakini yeye mwenyewe anajua nini anafanya kwa nchi yake. Poleni mnaokwazika kwa harakati zozote za E.L ila kama amepangiwa kuwa rais atakuwa tu, upende usipende na hayo maelezo yako marefu.
Jamani mbona watu mna maneno makali sana? kuna ubaya gani kusema msiba ni mkubwa? Aliyekufa ni kiongozi katika family yake hivyo family imepata pengo kubwa sana na aliyekufa atabaki kuwa mkubwa tu! Tuheshimu misiba na kuwafariji wafiwa, omba Mungu msiba usikufike ukikufika utajua ni kwanini...
Ni vema tukaheshimu maneno ya watumishi wa Mungu kuliko kubeza, tuwe tayari wakati wowote, unaofaa na usiofaa maana hatujui siku atakayokuja mwana wa Adam. Pia tuheshimu Mamlaka zinatoka kwa Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.