Unakuta we unaeshabikia ccm huna lolote, wenzio wanashabikia wamewekeza.......watu wachache wapumbav ambao hawajui mustakabal wa maisha yao ndio wanaotuangusha.......ila magufuli akipita urais, ntashukur kuwa sote tutaisoma namba yahali ngum ya maisha
Lowasa hata ukiongea dakika 1baba inatosha kwa ss waelewa.......kura yang ni yako baba sina haja ya kampen...... Sumu za ukawa Bungen n kampen tosha kwang, so hata wakituzuia kupiga kampen kura zipo palepale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.