Recent content by LILANDI

  1. L

    Winter olympic in Russia 2014

    Reading from 'Business Times', a weekly News Paper, there is a a report that there an event arranged in Moscow in 2014, Winter Olympic, which neighbour, Republic of Georgia is lobbing for blocking. Its an interesting news to note as sports has a meaning to global development. There has not...
  2. L

    Sakata la kuuzwa UDA: Kauli za Idd Simba, Masaburi, Kisena et al utata mtupu

    Kuuza kampuni ya UDA ni kwa manufaa ya wajanja wachache kwa kile kilichofanya kuandaliwa mkakati wa ubinafshaji ulioshamiri enzi za awamu ya tatu ya utawala wa nchi ya Tanzania. Hakuna sababu yoyote inayoingia akilini kwani swali iweje mtu binafsi anaweza kuwa na magari ya abiria na kuendesha...
  3. L

    Rostam! - Tafadhali Bwana

    Currently we are reading from local and international media about uprights from the people in Libya and prior to that we had similar news from Algeria, Misri, Ivory Coast, not forgetting what going on in Syria in Middle East. It indicates that people can choose a leader on their will but same...
  4. L

    Rostam! - Tafadhali Bwana

    Katika historia ya Tanzania haijatokea kiongozi aliyekumbatia mafisadi kama inavyoonekana hivi sasa. Kulea mala rushwa nchini ni dalili ya kutoweka uzalendo. Hali hii inatia shaka kama wimbo wa kumuenzi Hayati Nyerere unaimbwa kwa moyo au maneno ya mdomo tu. Hali hii pia inaleta dhana ya wajinga...
  5. L

    Rostam! - Tafadhali Bwana

    Kuachia ngazi kwake iwe ni fundisho kwa wanasiasa wengine , hususani wa upande wa chama tawala. Hali hii pia iwe ni changamoto katika anga ya kisiasa inayoonesha mfano kuwa chama kimoja kikikaa madarakani muda mrefu huota mapembe na kujigamba hakuna kitu kingine kinaweza kutokea cha kupingana...
Back
Top Bottom