Recent content by Likeminded

  1. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mungu kwa kupata rais bora.

    Tanzania ni nchi yenye bahati kwa kumpata rais bora, mwenye uchungu na nchi yake, mchapakazi, mpenda maendeleo, mwenye huruma, mzalendo, mpenda watu, na sifa nyingine lukuki. Hili halina ubishi kwamba rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete ni tunu na lulu kwa Taifa letu la...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hodi ! hodi ! naingiaaaaaa......hodi mpaka ndani.

    Habari zenu wana JF, Mimi ni mgeni humu jamvini natumaini tutashirikiana.
Back
Top Bottom