Recent content by lihike

  1. L

    Utafiti wa onyesha ccm itashindwa uchaguzi

    Hawana sela wameona cc vijana tunataka mabadiliko wameanza kumtumia nembo yetu eti magufuli for change M4C wameishiwa sela wanaiga za ukawa
  2. L

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Mimi nyumbani kwangu kuanzia watoto mpaka mke wangu ni vichekesho jamani kama mwanangu wa kiuume utamskia baba lowasa safi anaonesha dole gumba, magufuli anakwambia kimeo cjui usemi ule anautoaga wapi cjui wandugu
  3. L

    Richmond, Lowasa and the race to ikulu

    Unajua waswahili wanasema hii mchawi mpe mwanao, nina maanisha kama lowasa wanasema mwizi sisi tunamtaka huyohuyo mwizi ambaye kashaimba katosheka atutaki ccm wakiingia madalakani wanajinufaisha wenyewe na kujisahau kwamba wao tuliwapa kula cc wananchi, so tumewachoka watuachie lowasa wetu
  4. L

    Media inarudia kosa lile lile la kutuchagulia Rais, hatutakubali

    Kwa kifupi ccm tumeichoka asalaam aleykum
  5. L

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Palepole ni mnafiki, tena ni wa kuchomwa moto kwa sababu ya uongouongo wake wa kutetea chama bahada ya maslai ya wananchi tena hafai kuongea kabisa
  6. L

    Genge la Lowassa ni janga la Taifa, wenye macho ya ziada walisaide Taifa hili

    Ukiwa ccm na akili yako utakuwa ya kibinafsi, mchawi, na upuuzi kijana mdogo unampenda ccm huwo c ujinga, ccm ni wazee na akina mama
  7. L

    Genge la Lowassa ni janga la Taifa, wenye macho ya ziada walisaide Taifa hili

    Uwongo wa ccm ndiyo mambo yao tumechoka na ccm. Unaushahidi kama lowasa anatoa rushwa mbona tunapata taarifa ya habari ccm ndiyo wanashikana kwenye rushwa kwa takukuru walimkamata nape, muuigulu nchemba,
Back
Top Bottom