Pia nguvu ya m/kiti kumudu changamoto ilijidhiirisha tena mwaka 1984, pale alipoitisha kikao cha dharura Dodoma kuchukua hatua dhidi ya yaliyokuwa yanajili Visiwani.
Pale Dodoma paliwaka moto, makundi mawili kutoka visiwani yakipambana, moja kumzamisha Alhaj Jumbe na lingine kuhakikisha anabaki...