Recent content by LifeMission

  1. LifeMission

    USA: Elon Musk anunua 9.2% ya hisa za Twitter

    Kuna watu wanaeoenda kujifunza katika watu waliofanikiwa na Kuna watu ni passion zao kusema hivyo ... Na Kuna watu hizi sehem sio sehem zao .
  2. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Mungu wa kweli akubariki katika safari yako
  3. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Mungu wa kweli akubariki katika safari yako
  4. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Huku sio kwako jaribu kuwa unasoma kwa kuelewa na sio kujibu .. unajizid kujipoteza mwenyewe .. maana ukiona tu mtu anajibu namna hii hii ni ishara ya kwanza kabisa kuwa Hajui anataka kufa anafanya Nini . . . Na unakuta pia upo kwa baba yako ambae analipwa elfu 10 Ili alishe wanae 6 kwa siku ...
  5. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Ka Karibu katika kuiitafuta Pepo ya Duniani Boss mungu wa kweli atakubariki
  6. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Hey Mr. New city this si not your city .. tunakusubiri nafasi yako ipo huku pia Kama utatoka hio nchi .. inabid ujue unaongea na life mission statement .. unakarbishwa WELCOME ...
  7. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Na ukiona mtu wa namna hii ujue hii sio sehemu yake maana ana focus na vitu ambavyo sio level yake anavamia Kila kitu ... Uki FOCUS kwenye kitu kimoja hata upumbavu unapungua kwa Kasi sana.
  8. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Huyu aliuliza hivyo anaelewa alichokisoma vizuri .. hajasoma kwa ajiri ya kujibu.. WELCOME.
  9. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Na kwa icho icho ulichojifunza ndo mwanzo kujua Siri nyingi kadri unavowaza kuhusu Jambo moja WELCOME
  10. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    Hii sio sehem yako kabisa maana akuna alie wahi ku invest Bila kataratasi ambayo maandishi yake anayaelewa kiundani.. Anza ulipo ukifika hii level utarud baada ya mda flaan wa kuchoka ""Investment za kwenye karatasi"" tutakukarbisha maana ata sisi tushawai kuwa kama wewe na kutoka io hatua...
  11. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    SWALI LA KWANZA UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.?? Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ??? Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi Kuna watu...
Back
Top Bottom