Recent content by Life.tz

  1. Life.tz

    Hivi wanawake mmezaliwa na genes za kuomba hela?

    Mmmmm Wanaume Mabwege mpaka sasa bado wapo......!!? Maana c wanasema sasa hivi watu hasa Watz wanauelewa mkubwa.
  2. Life.tz

    Picha:Tuseme pesa zinamchanganya au ni upumbavu tu na ushamba?

    Uwee uweeeeeee. Angeanzia wapi.....? Myweather nilishawahi mwona na mambo ya kiivyo. Huyo huyo alisifia .......
  3. Life.tz

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    We nawe pumba kweli tena pumba za Bangi.
  4. Life.tz

    Ushauri wa bure kwa viongozi wa UKAWA

    Ckulijuwa hilo . So kumbe Mzee Mwinyi,Mkapa,Warioba,Kikwete nk. Walimfanyia kampeni kwa shinikizo tu la hakuna namna.
  5. Life.tz

    Ushauri wa bure kwa viongozi wa UKAWA

    Kaa ukijua Mh Rais J P M ni MwanaCcm. Hakugombea kupitia TLP wala Nn.
  6. Life.tz

    Waziri Mkuu Majaliwa aitaka TAMISEMI kujieleza kwanini mabasi yaendayo kasi hayajaanza kufanya kazi

    Elimu,Elimu,Elimu + Mahojiano na BBC Zuhura yunusi ni mpaka alisema Unanionea....? Sasa leo Kuna Wana wanauliza swali lile lile aliloulizwa EL Bbc.. Loh mpaka raha
  7. Life.tz

    JamiiForums ni moja ya sehemu nzuri ya kupima IQ ya watanzania wengi

    "TUFANYEJE ILI KUWAKOMBOA....." Hii inamaana wewe Shimba ya Bunyenze haumo? Salary Slip hayumo? Basi nyie tukomboweni sasa
  8. Life.tz

    mlishangaa push ups za JPM, argentine president elect je!

    Loooh Mh alinikosha sana kwenye show na Yamoto Band
  9. Life.tz

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Ok fine sasa baada ya jibu lako zuri angalia mahojiano ya BBC na E.Lowasa. upate kuelewa vizuri
  10. Life.tz

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Na aliekuwa mgombea wa Urais kupitia Ukawa katokea KANU.....?
  11. Life.tz

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Magufulu...? Magufuli keshaaanza kazi ni ww tu huoni na sababu ni gia iliobadilishwa hewani
  12. Life.tz

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Ulisikiliza hotuba ama umehadithiwa?
  13. Life.tz

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Kama Wanachadema walivyoumizwa na gia iliyobadilishiwa hewani...
  14. Life.tz

    Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Duuuuh nimependa maoni yako. Ajabu Ukawa wasipo fuatilia walau mawazo aliotoa Prof Kitila ........... watajiju
  15. Life.tz

    Aliyoyasema Prof. Kitila Mkumbo nayaona kwa jicho la tatu

    Kama wengi walivyopigwa upofu kwa Lowasa kuhamia Cdm........
Back
Top Bottom