Recent content by LickSamba

  1. LickSamba

    Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

    Salaam wapendwa humu ndani. Mtoto wa miaka miwili anapata kikohozi kikavu kwa takriban mwaka sasa. Tiba nyingi ametumia lakini kila baada ya miezi mitatu kikohozi kinarudi. Naomba ushauri wenu; *Nini tatizo hapo? *Ametumia tiba za hospitali sana,nini tiba ya kufaa zaidi? *Si muda mrefu amemaliza...
  2. LickSamba

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Imetulia sana hiyo king. Tunahitaji kuondoa gap kati ya wenye nazo na sie makabwela. Na wengi wao ni mafisadi.
  3. LickSamba

    Mtoto kameza gololi

    Hahahaaaa!!! Ahsanteni wadau wote mlionipa mawazo yenu positive,na mlioponda pia coz I really like challenges.
  4. LickSamba

    Mtoto kameza gololi

    Wana JF Doctor habari zenu wote. Mwanangu amemeza gololi tangu jana majira ya saa 3 asubuhi Ni hizi gololi wanazonunua madukani na kuchezea(sijui vizuri materials zake,lakini sio zile za chuma zitumikazo kwenye baiskeli nk). Hadi sasa yupo kawaida tu, halalamiki maumivu yoyote wala hakohoi...
  5. LickSamba

    Fahamu zaidi kuhusu tatizo la minyoo sugu na tiba yake

    Habarini wanaJF. Binti yangu mwenye umri wa miaka miwili ameonekana na minyoo aina ya Ascaris na Hookworm wengi. Naomba ushauri wa dawa inayofaa.
  6. LickSamba

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Ahsante Gobe kwa couselling maridhawa. Lakini anakunywa maji vizuri sana huyu dogo,kwa matunda anapenda ndizi mbivu,chungwa na tikitimaji. Nitaongeza juhudi katika kufuata ushauri wako na wa wengine nitakapoupata.
  7. LickSamba

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Sina shaka hamjambo members. Nisaidieni chanzo cha tatizo hili na utatuzi wake: Binti yangu mwenye umri wa miaka miwili anapata choo kikubwa kigumu mara zote. Kuna dawa nimewahi kumpa kwa ushauri wa pharmacist fulani,ni vidonge ambapo anameza kimoja na kupata choo laini,lakini baada ya siku...
  8. LickSamba

    Matumizi ya asali, tango na limao

    Ahsanteni wote,lakini topic bado ipo hewani kwa mwenye mchango zaidi.
  9. LickSamba

    Matumizi ya asali, tango na limao

    TANMO Simaanishi mchanganyiko bali ni kula hivyo vitu separately ndani ya muda mfupi hata kama si kwa kukusudia.
  10. LickSamba

    Matumizi ya asali, tango na limao

    Amani kwenu wanajukwaa. Naomba kujua kitaalam iwapo kuna madhara ya kula tango na asali au limao kwa wakati mmoja, maana kuna rumours kwamba mchanganyiko wa asali ama na limao au na tango hufanya sumu hatari ikiwa utatumika kwa kula.
  11. LickSamba

    Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

    Politics is a game of dynamics
Back
Top Bottom