Recent content by Lickorium

  1. L

    Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    watu wenye hela hawaongei na picha we piga simu upewe details za eneo ukaangalie wizarani arafu uje nikupe na document zangu ndipo biashara ifanyike nyinyi mnaosema utapeli allah awasamehe sana faari naswira usizungumzie nafsi ya mtu
  2. L

    Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  3. L

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Uendeshaji wa hovyo kabisa kuanzia viongozi mpaka wafanyakazi wa chini kwa sababu sio kama hamuoni au kusikia kero za abiria wenu vituoni. Bado mna wa zamani sana kupangisha watu foleni hivyo mradi mkubwa hivyo mnakosaje hata IT au Technician ambaye atakuwa mbunifu wa kubuni vitu katika mradi...
Back
Top Bottom