Natafuta mtaalam wa masuala ya mazingira ambae anaweza kuandika vizuri miradi na kufanya EIA, EA AUDIT vizuri. Kama upo Vizuri kwenye Masuala hayo njoo tufanye kazi.
Asante
WhatsApp +258 87 299 8313
Natafuta mfanya kazi mwenye uzoefu wa kazi ya uwakala (money transaction) Tigo pesa, Airtel money, M-PESA, Halopesa, CRDB & NMB Ofisi ipo kigamboni Mikadi /Dar es salaam Tanzania. awe na uzoefu wa kazi
Jinsia KIUME
Vitu anavyotakiwa kuwa navyo
1. BARUA ya mdhamini iliyosainiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.