I stand to be corrected...the guy will take this nation to hell if Tanzania will vote for him.... it does not bring any selfish guy like this to be voted as the president of civilians like Tz....everything He speaks is alway, I....presidential post is a system and not individual as He want to...
Kweli umejitambulisha vizuri kuwa wewe ni UPE......hii nchi haitaweza piga hatua kuwa na watu wafinyu wa akiri kama wewe...... Topic yako yenyewe ni biased na inalengo hasi...... Si ni afadhari hao Chadema wamekuja na soln ya kile umeshindwa.......
wewe unaishi hawana human resources or?.... Ikiwa wameweza kuvunja vizingiti vyote vya mtawala aliye na kila kitu why dont u appreciate that CDM z on top of ccm and that will lead u to conclude that wamejipanga mkuu
Alishakukufanya nini?yaonekana wewe ni miongoni mwa aliyowanini......pole sana bt kuchapwa ni siri ya ndani si kuileta humu JF as we discuss issues and not private staffs.......
Hata kama unamahaba na ccm sasa umezidi...... Kwako uwaziri ni yeyote hata mweu? Kipindi cha BWM mtupu na mpuuzi kama nchemba hata nyumba kumi asingempa.....ni lini umewahi msikia nchemba akiongea any constructive point on economics....... Tuache utani rais ni mzigo....... The failure Migiro in...
Ulitaka ashinde nani ndo uweze appreciate?... Tatizo lako ni kujiona kuwa wewe ni bora kwa kila kitu...... Tanzania hatupigi hatua kwa sababu tuna watu wa aina yako wengi......au mlitaka uchaguzi usifanyike to wait ur man(Zitto) to shift into it ili aweze gombea uchair, then muanze mbinu chafu...
Mkuu sikuwahi fahamu kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki....ukisoma vizuri ufafanuzi wako utajiona ni kwa kiasi gani wewe ni mfuasi wa unayoyapinga na mbaya zaidi mwenye wivu wa kike...
1. I thought u cld tell JF members that ur among the founder of this new part but ur just narating and advertising...
Tofauti yako na yao ni nini.....wewe upo kwenye keyboard wao wako live........ Afterall ur right that hawana cha kufanya as ccm mumeshindwa to be innovative in fusing them into working system......watakao watoa madarakani ni hawa hawa unaowaona leo hawana cha kufanya.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.