Hizi habari ili ziwe za kweli ni lazima zithibitishwe na polisi na ubalozi wa Tanzania nchini Oman. Period. Kama huamini ubalozi na polisi hio ni shauri yako maana utaamini kila kinachoandikwa. Sitaki kutetea maana huyu angeweza kua hata dada yangu lakini ni lazima nihakikishe na hio ndio common...
Hii huletwa na mambo mengi. ea vyakula unavyo kula sigara na kikubwa zaidi kuliko yote ni frustration za maisha lakini mwone daktari kwa ushauri zaidi. Usije kujaribu dawa za kimasai maana namfahamu mtu alitumia siku 4 haikulala akataka kufa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.