Recent content by lfmthebest

  1. L

    JamiiForums Msaada kuhusu satelite dishes

    hiyo satelite finder inauzwa bei gani
  2. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    mpeg 4 ya zuku naweza tumia kwenye east degree ya 72.1 ambapo zipo chanel zote za kenya na EATV ya tanzania naombeni jibu tafadhali wadau
  3. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    kwa wale wanaohitaji frequency ya CITIZEN TV kwenye INTELSAT 20 KU BAND 68.5 EAST ni 12551 V 3100
  4. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Eti jamani naombeni kuuliza je decoder ya zuku na ya ting za dish dogo je nina weza kutumia kwenye chanel za kawaida satelite tofauti tofauti kama intelsat 20 na intelsat 906
  5. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    mimi nimeunganisha c-band na ku ya intelsat 20 pamoja na intelsat 906 zinashika vizuri tu sasa kila nikijaribu ku set eutelsat 36 kwa frequency ya 11843 H 27500 inagoma kwa wale waliopata hebu tupeane ujuzi
  6. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    unapata channel zip za DSTV na receiver yako ni mpeg 4 au mpeg 2
  7. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    jamani mimi jana nimejaribu kutafuta signal kwenye eutelsat 36 kwa muda mrefu sana bado nimeshindwa na nikatafuta pia kwenye apstar 76.5 east bado nayo sikufanikiwa na hata thaicom 78.5E nayo sijafanikiwa ambazo zimekubali ni ya intelsat 20 KU na C band kwa kuzi join pamoja mnanishauri nini jamani
  8. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    ngoja nitajaribu harafu nitaleta feedback na vipi kuhusu apstar 76.5 na thaicom 78.5 ni channel ipi au frequency ipi ni rahisi kutumia kutafuta signal?
  9. L

    JamiiForums Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    hv nimejaribu kutafuta signal ya kwenye apstar kwenye 76.5E sijafanikiwa na hata ya eutelsat 36 nayo sijafanikiwa kupata signal sasa je urefu wa kutoka kwenye centre lnb mpaka kwenye eutelsat 36 ni cm ngapi?
Back
Top Bottom