Utaratibu wa Chadema hela inatoka kwenye matawi inakwenda Makao makuu. Halafu bila aibu inaliwa na wachache na wenye akili. Patamu hapo.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Tatizo hawa wanaojiita mastaa, kumbe mastaa njaa mishipa yao ya kusoma alama za nyakati zimepata ganzi.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Jana wakati Maalim Sefu Sharif Hamad alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja majira ya asubuhi, Aliulizwa swali "Je Unaweza kukaa meza moja na Professor Ibrahim Lipumba?" Alijibu hawezi kwasababu Profesor Lipumba anadhulumu "HAKI ZA WAZANZIBARI" Sasa ninajiuliza, huyu Maalim Sefu kwa nafasi yake...
Ni kweli kabisa kaka. Lakini naomba uelewe kwamba Mtu anaeitwa "COMANDO" Huwa hatakiwi kabisa kutumia SILAHA anachotakiwa yeye kufanya ni kufanya shambulizi kimya kimya mpaka operation inakamilika. Na wale uliokuwa unawaona jana ni "MAKOMANDOO" Kama uneshindwa kunielewa kakojoe kwenye gate la Jeshi.
Hahahaaaa...! Kama walithubutu kumsafisha muhusika na kufikia kumpa nafasi ya kugombea urais kwa makubalino ya fedha...! Itakuwa kuitetea Richmond...! Hao ndio CHADEMA bana wanaweza kuaminishwa na mtu mmoja tu akawaambia huu ni Ugali tena ni mtamu mno, nao wakaanza kuula na baada ya kumaliza...
Sasa mtu mwenyewe alieanzisha hiyo hoja kipindi hicho alikuwa bado anawinda ndege kwa urimbo. Leo hii na hoja kama hiyo ataiweza wapi. Upinzani wanatabia ya kujipanga kabla hawajaleta hoja au kuzungumzia jambo fulani bungeni mimi ninawasiwasi hili jambo nasari kazuka nalo yeye mwenyewe na POMBE...
Sasa wewe ulitaka wanune kama ulivyonuna wewe? Tena kwa taarifa Mimi naona hasira zako zilikuwa hazijaisha ilitakiwa UNYE BARABARANI ndio ungekuwa umemaliza hasira zako. vinginevyo hii kitu itakusumbua sana. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sasa na wewe mfua bendere wanayojifutia wenzako...! Unaona huyo nasari ndio kaingia point. Hoja ya kutokuhojiwa ilishapatiwa majibu tangu bunge na 2008. Na mzee alipoona maji ni marefu akaachia ngazi tena KWAKUJIUZULU. angeendelea basi kuutetea ule uwaziri wake kwa hoja nae ahojiwe ndio mgemjua...
Si unaonaeee...! na ndio maana hakuna haja ya kuweka bunge live, maana unaweza kutapika siku nzima kwa ujinga wa watu wachache wanaofikiri kwa kutumia MAKALIO. Nadhani ukipeleka biashara ya kanga tena zenye maneno ya mipasho, italipa sana maana watavalina kila kukicha Limekuwa sio bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.