Wana Jf, kuhusu Job kujiuzulu ni kuwa ameandika barua ya kujiuzuru, moja kwa Ccm waliomdhamini na moja kwa Katibu wa Bunge. Hiki kinachotrendi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ni 'Taarifa' ambayo anawajulisha Watanzania khs Kujiuzulu kwake. Mambo mengine ndo maana tunahtaji Katiba Mpya...
Wna Jf, Tatizo cyo chanjo, kinachotakiwa ni wataalamu wetu wachukue hizo dawa na kuzifanyia uchunguzi wa kina(deep proof) ili kuwa na uhakika kwamba hazina madhara kwetu. Kwa kuwa Huenda wao wakatumia chanjo iliyo bora na Sisi wakatuletea yenye madhara. Lakini pia nmeona Madaktar wa Italy...
Ngoma ikilia sana hupasuka! Kadanganya na kuibia watu kupitia imani na ss mwisho wake ndo huo. Kaanza kulialia kuwa anaonewa kasahau uongo na ushenzi alowatendea watu! Mauti ndo ynamkuta hivyo na arudishwe akabebe dhambi zake.
Mkuu kwa Mo ukichkua kimoja bei ni ghali, kwa kuwa yy ni Supplier hivyo ili upate bei nzuri lazima uchkue mzigo mwingi.
Ila ukweli ni kuwa tumenunua vitu vingi vzuri kkoo kabla hata ya hiyo Mlimani.
Hata huko waweza pata vitu visivyo na ubora, kwa hiyo elewa kuwa kkoo kuna maduka ynayouza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.