Recent content by Level Florian

  1. Level Florian

    How to gain more followers in Instagram...!!!

    iyo app ukipata coins ukagain followers wanapukutika wote
  2. Level Florian

    Foundation course

    foundation si imefutwa
  3. Level Florian

    Tembelea Hapa Kufahamu Kila Kitu Kuhusu Smartphone Yako

    Naombeni msaada nifanyeje simu yangu inaisha chaji kwa haraka na betri nimenunua jipya ila charge haikai wakuu au nibadilishe system charge??
  4. Level Florian

    msaada IT to software engineering

    it means diploma ya IT chuo chochote kinachotambulika na nacte si ndio??
  5. Level Florian

    msaada IT to software engineering

    nielewesheni wakuu kijana wenu
  6. Level Florian

    msaada IT to software engineering

    ningependa kujua wakuu eti ukiwa na GPA nzuri ya IT diploma.. unaweza kusoma software engineering?? mawazo yenu muhimu nakaribisha
  7. Level Florian

    Msaada Jinsi ya Kudownload FTS17

    download app market ya aptoide utalikuta
  8. Level Florian

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    hivi mtu mwenye diploma ya IT anaweza kusoma degree ya software engineering??
  9. Level Florian

    Wale wa Mzumbe mwaka wa kwanza uliza chochote hapa

    wakuu mtu mwenye diploma ya IT anaweza kusoma degree ya computer engineering??
  10. Level Florian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    wakuu mtu mwenye diploma ya IT anaweza kusoma degree ya computer engineering??
Back
Top Bottom