Habari wanajamvi,
Mimi ni mtoto wa kimaskini niliekulia kwenye umaskini, mwaka 2023 mwezi wa kwanza nilibahatika kufika Dar es salaam kwa mara ya kwanza mimi professional yangu ni SOFTWARE engineer natengeneza app za simu na website basi mwaka jana mwanzoni nilipata bahati ya kuja kumtembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.