Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo yeye ananizidi kidogo, Cha kushangaza toka nimekuwa nae kwenye mahusiano haishi kulalamika hana...