Recent content by lesleswng

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wale mnaosikia juujuu tu kwamba mauaji ya maelfu Watanganyika wakati wa uchaguzi ni kisasa, kujeni niwa-brief kidogo

    Aloooooh sema kila mtu atalia na kusaga meno na hakuna sauti zitadikika tena, watu wa Jihad ni noma wazee wa visasi hili ni picha la kutisha,
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Si uwaache watafute ndoa ww inakuuma nini mwanaume mzima
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAHITAJI MCHUMBA

    Hakunabwaowaji mtandaoni utaishia kuliwa na ujute
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

    Wengi wameliwa tu na kusepa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo

    Hali zetu unazijua kubadili mfumo wa maisha kwa asilimia 100 ni uongo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo

    Sawa ngoja mm nitumie nione hali itaendaje
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo

    Kwakweli ngoja tuone
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo

    Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tumbo linawaka moto kama kuna maji ya kuunguza yanamwagwa tumbo

    Sure hata mimi nimehisi hivyo sasa nikipimo gani naweza pima
  10. L

    JamiiForums Tanzania Resistant H.pylori

    Tumbo linaumaje maan mm muhanga
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tumbo linawaka moto kama kuna maji ya kuunguza yanamwagwa tumbo

    🤣🤣asante jaman
Back
Top Bottom