Recent content by LESA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Huzifukii tanki unajenga kama septic tank ila inakuwa imara zaidi unasiliba chini na kuweka tiles na kama una uwezo hata kwenye kuta unaweka tiles, na juu unaweka zege imara gari ikipaki pale halibomoki. Unaweka kifuniko kama cha septic tank, you're done. Tanki la chini laweza kuwa kubwa sana...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Hapo atakosa maji pamoja na kuwa maji yanatoka kwani pressure ya maji huwa ndogo. Gharama ya kujenga underground tank sio kubwa. Wewe unafikiri atatumia kiasi gani kujenga hilo tower?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Probability ya pump kuzingua ni negligible. Nina pump zaidi ya miaka 15 sijabadili. Halafu unaweka tanki dogo kama lita 500 kwenye dari na lina overflow pipe ambayo inatoka nje. Kama hutaki kuweka kwenye dari, jengea nje. Hitilafu ya umeme sio issue sana kwani una backup ya lita 500. Hizo tank...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Kwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
Back
Top Bottom