Hilo ni swali la kumi na moja .Necta 2017
Aliyelipata hilo swali aliandika hizi hapa inequalities
Sh. 150 ya machungwa na sh. 200 za maembe hazina inequality so unazineglect. Hiyo hapo ni solution ya aliyelipata hilo swali sio solution yangu.
Mimi wameweza kunipa hiki kiasi lakini mkopo wa mwaka huu wa mdogo wangu pia ni wa kike na wazazi wote hawapo hapo ndo nimeshindwa kuelewa .na wametoa majibu siku zimeisha za kwenda chuo.
Huu ni mkopo wangu niliobahatika kupewa lakini kwa mdogo wangu mambo yamekuwa tofauti.
Nilitegemea wangeweza kumlipia kiasi ambacho tungeweza kuongezea hata kidogo .Na pia kupata course za Afya kwa chuo cha serikali inakuwa changamoto saana.(maswala ya competition).Niliulizia wanafunzi wa hapo st. John wanasema angelipiwa asilimia 100 ya ada tusingeongeza chochote (kuna wanafunzi...
Mkopo kwa miaka ya nyuma ilikuwa inaenda mpaka zaidi ya M 3 ,sasa mwaka huu sielewi kilichotokea maana huwa wanaangalia tution fee ya chuo husika na kukulipia ila maximu haizidi M 3 na kitu.
Results zake hizo za form 2 na form IV ,tuliomba private kwa sababu tulijua ushindani utakuwa changamoto kwenye kupata course za afya lakini pia kwa mategemeo bodi ya mikopo itamuwezesha ili aweze kutimiza ndoto zake lakini imekuwa kinyume .
Mawazo yenu tu ni muhimu .
Matokeo ya form yake ya...
Kuomba msaada ni changamoto tunajisomesha wenyewe na mategemeo makubwa ni bodi ya mikopo .sasa huyu mdogo wangu kukaa hadi mwakani pia ni changamoto hata sielewi kwa kweli nilikuwa najua watampa kipaumbele .Maana mimi pia Bodi ya mikopo inanisomesha.
Process za kuhama chuo sizifahamu.nilifuatilia nikajua kuna baadhi ya vyuo bodi ya mikopo wanalipa mapaka maximum ya 3M kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo
Kwahiyo nikawa na matumaini ndo maana nikaomba na private .Nimebaki njia panda .
Process za kuhama chuo sizifahamu.nilifuatilia nikajua kuna baadhi ya vyuo bodi ya mikopo wanalipa mapaka maximum ya 3M kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo
Kwahiyo nikawa na matumaini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.