Rais Biden ana hasira na Trump kwa hiyo maamuzi yake mda huu yanatokana na hasira hizo tu. Kwa sababu kama alikuwa muumini wa haya anayoyasema sasa hakuna Rais wamarekani angepona including Bush and Obama; angeyapitisha haya kama mswada wa bunge la seneti kipindi akiwa senetor wa Delaware.
It's a huge gamble. They aim to influence other corporates to follow suit. But on the other side it might not happen because Facebook is too big to be controlled.
Pia Tanga. Cha msingi ni kuwa makini na kujilinda. Nawa mikono, epuka mikusanyiko, vaa mask unapotoka nje ya nyumba yako, na zaidi ya yote mtangulize Mungu. Mambo yatakuwa shwari. Ila wanaoongea bila kufikiri, Mungu awakumbuke.
Really? Aisee unahitaji kufanyiwa utafiti wa ubongo. Sio bure. Hili ni janga la kimataifa, si unaongea tu. Tuzidi kujitahidi kufuata maagizo ya wizara ya afya na pia W.H.O sio kujipa faraja za kijinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.