Recent content by leonardbuba

  1. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Ndio lilipo kwa sasa Miaka mitano mingi duuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  2. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Thanks nimekuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Unajua jamiiforum sio instagram kwamba kila mtu anatumia naamini wanaojielewa tu ndio watumiaji sasa wajibu wko kuelewa nachohitaji na kutoa wazo, ushauri Kama haina unasoma na kuskip tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Mahusiano na masomo vitu viwili tofauti na mie si mwanafunzi labda mwenzangu yuko advance mie niko uraiani natimiza Majukum mengine sas kwa style hii Nahsi jini mkata kamba anayemelea Sent using Jamii Forums mobile app
  5. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Hahaaaa hapna unapo kuwa na mpenzi kuna nyakati unatakiwa muwe pamoja walau mara moja moja kwa week mtembee na muyaongelee mahusiano yenu sasa Miaka mitano tupo tu yeye busy err day na duka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Hatujawahi tumiana na wala hatujawahi jadili hukusu hatua ya ngono Sent using Jamii Forums mobile app
  7. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Mzee baba mie niko mature enough na wala sihitaji ngono ila hatujawahi kukaa tukaongea mahusiano yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. leonardbuba

    Hisia zimeisha juu yake

    Nimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona pia najua hapa kitaa hasaliti labda shuleni kwao attention na mie ni simu anapiga sana tu ila hatuna...
  9. leonardbuba

    Must see Movies

    Nahitaji list ya movies kali za kihindi na kizungu za kuangalia ziwe za action na stoyline kaliii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. leonardbuba

    Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Ntaitafuta ndgu hii na kuleta mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  11. leonardbuba

    Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Ni action??..na storyline yake iko safi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. leonardbuba

    Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Guys, naomba tuambizane movies kali kali za Bollywood na hoodwood unazozipenda sana weekend hii tuenjoy pamoja. Wale walevi wa movies. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. leonardbuba

    Ofa ofa ofaaa

    Jipatie full set ya Dstv kwa 79000/= pamoja na ufundi bure na package ya kifurushi kuwatch miezi miwili (2) free Pm me nikuletee mpaka nyumbani kwako bureeee kwa Dar #DstvPopote Sent using Jamii Forums mobile app
  14. leonardbuba

    SZIFF2019

    Dhamira yao mwaka huu wamesuccesd Sent using Jamii Forums mobile app
  15. leonardbuba

    SZIFF2019

    Kwa walioshuhudia leo utolewaji wa tuzo za #SinemaZetuInternationalFilmFestive2019 lazima wengi wao wameguwaa na kustaajabu namna ambavyo mambo yamekuwa na mshanga mkubwa yaani uliye mzania na kumtegemea imekuwa sivyo ndivyo kwa vipengele vyote na hii ni maana kubwa sana kwa upcoming filmmaker...
Back
Top Bottom