Recent content by leodude

  1. L

    Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    mkuu embu nisaidie na mimi kimawazo,mimi majina yangu ya vyeti vya taalumu ni “hance prosper paul” cheti cha nida ni “hance prosper massawe” ila majina yote hayo yapo kwenye cheti cha kuzaliwa ni kwamba nida walitumia jina la ukoo badala ya jina la babu,je kunachangamoto yotote itayonikumba hasa...
  2. L

    INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
  3. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta na mahitaji yote Ukubwa Wa Ramani ni mita 11/kwa mita 12 Kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649
  4. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Hii Ramani ya vyumba vitatu vyote self, choo cha kushea na mahitaji yote , Ramani ina Ukubwa Wa mita 9/kwa mita 12 Kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649
  5. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya ghorofa moja chini kuna; "Sebule " Dining&jiko&Stoo "Vyumba viwili vya kawaida " choo cha kushea Juu kuna; "master bedroom(hii ya baba na mama😃😃) ikiwa na balcony kupunga upepo Kupata Ramani yake na nyinginezo nitext whatsap 0627571649
  6. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba viwili, kimoja masta, sebule, jiko na choo cha kushea Ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 9 Kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649
  7. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya Vyumba Vinne chumba kimoja masta pia ina wic(walk in closet)... Ukubwa Wa Ramani mita 12/kwa mita 15 kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649
  8. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    ZINGATIA|| MAKADIRIO YANAWEZA KUBADILIKA KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI
  9. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Hii ni Ramani ya vyumba viwili kimoja masta na mahitaji yote muhimu. ukubwa wa Ramani mita 10.6/kwa mita 10.3 #Mahitaji Tofali za msingi=598{kozi nne} Tofali za boma=1514 bati pisi 56{futi kumi} #Kwa wakazi wa Arusha/kilimanjaro mnapata hardcopy za Ramani kwa mawasiliano zaidi nione whatsap...
  10. L

    Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

    hakuna kitu ya bure buda Maisha nikukazana
  11. L

    Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

    vyema hakuna haja ya kujibizana wakati plan unazo, kila mtu abaki na anacho amini
  12. L

    Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

    Nenda google basi kwenye uzi wangu umefata nini chief umesikia nataka maubiri by the way kama wewe ni mtoto wa kike ni pm utaipata bure
  13. L

    Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

    mafundi nao utaomba wakusaidie kukujengea chief?..tunasaidiana kwa kupeana bei nafuu, there is no something for nothing, yaani ujipinde mgongo utafute estimation for nothing really?hicho kidogo ndo kinatupa nguvu na moyo wa kufanya zaidi chief..
  14. L

    Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

    Ni kwel chief ila kwenye mafanikio kuna mambo mengi, Je mimi nina kosa gani kuandaa ramani ya chumba kimoja..ni kweli kuwa kila mtu ana uwezo wa mabangalow? kama ni ivo kwanini hii Ramani nimefanikiwa kuiuza kwa baadhi ya watu?tukiacha vichwa vitu vifikirie freely na bila kuwa wabinafsi , utajua...
Back
Top Bottom