Nakuunga kwa 100% Waziri wetu katika hilo. Ubaya hulipwa kwa ubaya. Ili kuwe na mazungumzo ama mkae meza moja kwa mazungumzo, ni sharti pande zote ziwe zimeonja maumivu. Lkn mkiwa mnaonewa alafu kazi yenu kulalamika,msitarajie kutatua kitu hapo. Maana upande mmoja utawaona dhaifu tu. Lkn mkianza...
Ndugu waungwana, napenda kujulishwa kutoka kwenu wajuzi wa sheria.
Hili jambo limekaaje? Kama ikiwa ndivyo chama chenye wawakilishi kikafutwa,hao wawakilishi wataendelea kuwawakilisha Wananchi ama uwakilishi wao utakoma punde chama kinapofutwa?
Maana kwa Katiba yetu ilivyo,kiongozi ataingia...
Kwa mambo yanayoendelea Nchini ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya watu hawauhitaji upinzani Nchini. Juhudi nyingi tumeziona watu hao ama wao wenyewe ama kwa kushirikiana na vyombo vya usalama wakijaribu kwa kila namna kuhakikisha vyama vya upinzani havipewi nafasi ya kusikika na hata kukubaliwa na...
Nchi nyingi za Afrika zitakuja jutia sana huu uwekezaji wa Mchina. Maana yeye kutoa pesa kwa ajili ya kujipenyeza haoni shida na hujificha kwenye kichaka cha masharti nafuu. Kwa vile viongozi wetu wanataka mteremko na hawataki Nchi inayotoa pesa kwa masharti mengi na baadaye inataka ifanye...
Ni hivi majuzi tu tumetaarifiwa Rais Museveni kumwandikia barua Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli. Hili si jambo jipya na ni jambo la kupongezwa kwani inaonyesha namna gani viongozi hawa walivyo marafiki na wanavyoelewana.
Lengo la kuuliza swali hilo ni kutaka kujua kama mwananchi wa...
Duh! Huyu ni Moses kweli ama ni mtu mwingine? Mwandiko kama wa Moses lkn mawazo kama vile si yake na sipendi kuamini kama siku hizi Moses anawaza namna hiyo.
Kwanza kabisa anakiri kuwa kuna tatizo katika utawala huu...lkn kwa vile hatu wale wengine wanafanya makosa basi maovu ya utawala huu...
Kuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia kauli hiyo ya mzee Pinda. Alitoa mfano wa China,anasema alijiuliza kuwa China inao watu takribani 1.3 B ,akataka kujua Communist Party (CP) itakuwa na wanachama wangapi? Anasema alistaajabu sana pale alipokuta chama kina wanachama milioni 80 tu. Ambayo...
Huo ni upotoshaji wa makusudi. Hiyo pesa unayoisema si mpya kwa watumishi. Yawezekana ukawa si mtumishi wa serikali ama sekta binafsi. Ungelikuwa mmoja wa mwajiriwa katika kundi mojawapo hapo juu,bila shaka usingelikuwa na haja ya kuja kulalama humu jukwaani. Maama Annual increment inajulikana...
Kila mtu amekuwa akitoa maoni yake kulingana na mtazamo wake kisiasa kuhusu Zimbabwe ya Mugabe na hapa kwetu Tanzania.
Kuna wanaohusisha moja kwa moja ZANU-PF na CCM na wapo pia wanaomlinganisha Rais Mugabe na Rais Magufuli,lakini pia wapo wanaolinganisha hayo mambo ya Rais Mugabe na...
Hiyo hapo iko moja kwa moja...maana kwa muda kama huu Abaki kwa lipi? Kulikuwa na movement iliyokuwa ikifanywa kuhamasisha aendelee kutawala..ghafla watu wanakuja na #BAKI! Hamna haja ya kupepesa macho hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.