Recent content by lego2

  1. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kuna tofauti ambayo kweli mimi nmeiona nayo ni my middle name ya f4 ile G ina nukta "G." na ile ya f6 middle name haina nukta "G"
  2. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    karbuni wakuu msaada wenu ni muhimu sana!!!!!!!
  3. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Msaada tafadhali nmejarbu kuselect course kwenye CAS imegoma kabisa sababu eti wanasema majna ya form4 na form6 hayafanani!!! majna ni haya hapa chini O-level and A-level Names Do Not Match The Names used in O-level exams and those used A-level exams are not the same...
  4. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    wwe soma Agriculture economics and agribusiness(AEA) ya SUA Hujajutia kamwe maamuzi yako!!!!!
  5. L

    Hivi ni wakati muafaka kwa UKAWA kuchukua dola 2015 au kujiimarisha kwenye ubunge?

    tusubir kwanza tuone wanamtangaza nan UKAWA,ila mwenye upepo ukawa kwa kwel hayupo
  6. L

    Hakuna mwaka laini kwa UKAWA kuchukua nchi kama huu 2015

    kwa kwel n ndoto,je mnamsimamisha nan?
  7. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    wwee komaa na hyo hyo TEKU EDUCATION MATHEMATICS NDIO UTAPATA
  8. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Wwe omba ila chuo competion ikikutema ukatangaze nia ya kugombea ubunge na majimbo 26 yako wazi yanahitaji wagombea!!!!!
  9. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    kjana kwel tokeo lako liko vzur na koz unayotaka kusoma ipo vizuri ila chagua DUCE AU MUCE ndio utapata
  10. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Hapo wwe omba muce , duce, au udom ndio utapata
  11. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    wwe ucjal omba vyuo visivyo na competition kama DIT, MUST,WDMI(Chuo cha maji ubungo)
  12. L

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Ni vizuri wakuu mtu akachagua kusomea kitu anachokipenda bila kujali kujiajiri au kuajiriwa. Bila kusahau ufaulu wako pia ina matter sana competition isije ikakutema kwenye mfumo then ukaja lalamika!!!!!!!
  13. L

    PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Je kama mtu alikwenda chuo alichopangiwa then kutokana na matatizo ya mkopo akaamua kuacha ataweza chaguliwa mwaka huu akiomba tena upya??????
  14. L

    Fursa ya kujiajiri kwa course ya statistics

    mkuuu hapo umenene ndio inatakiwa hivyo
  15. L

    Ushauri: Vyuo visivyo na ushindani Civil Engeneering

    akasome chuo cha saut mwanza huko hakuna competition kivile
Back
Top Bottom