Recent content by LeGo17

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Biashara ina uhalisia, ila matapeli wengi, Bora ujifunze ufanye mwenyewe sio mtu akufanyie...tena yupo nje uko, akitokomea na mtaji utampatia wap?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over 113.5 1.65 Away Team - Over/Under (Incl. OT) Houston Rockets vs Atlanta Hawks () - USA - NBA Iyo code ya Zebet ya Bet Genius. Ukipata nyingine ya Zebet tuma niconvert
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Msaada kwa anayejua dawa ya masundosundo/ vipele sugu chini ya kisogo kutokana na kunyoa, hii huathili sana wanaume. Msaada tafadhali Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja kilichopimwa ( Surveyed plot for sale) kipo Mbeya - Iwambi

    Mimi ndie mmiliki, sio Dalali. Dm kwa taarifa zaidi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja kilichopimwa ( Surveyed plot for sale) kipo Mbeya - Iwambi

    Ukubwa: Sqm 800 (hatua 20 kwa 40) Kiwanja kipo Mbeya mjini - Iwambi, mtaa wa Mayombo. Umiliki: Mimi ndie mmiliki (hakuna udalali) Kiwanja ni kizuri kipo level, hakina mawe au visiki. Bei: Tzs 10,000,000/= NB: Kiwanja hakina mgogoro wowote. Serious buyer : Dm
  6. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    So far kwa experience yangu ya Forex, Templerfx ndie broker ambae anamazingira bora na rahisi ya kutrade forex. Kwani yeye ana ruhusu kuweka na kutoa pesa kwenye trading account yako kirahisi sana kutumia Mpesa, Eazzymoney au card yako ya benki kwa urahisi sana na ndani ya dakika zisizozidi tano...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wakuu habari za asubuh! Hakuna mwenye kujua utaratibu wa usajili?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    under licence ndio....ila hasa ni ktk kubobea kutoa mafunzo na kufanya realtime trading training kwa wateja wangu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    wakuu naomba kupata utaratibu wa kufuata pamoja na vibali husika kulingana na sheria za nchi. Nina lengo la kuanzisha hii biashara ya Forex ili iweze kuwanufaisha wengi.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku bora chotara vinapatikana Dodoma

    Kazi kwenu wadau wa ufugaji!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku bora chotara vinapatikana Dodoma

    Ni sh 2000 kwa kifaranga kimoja cha wiki moja.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu bora ya Chotara vinauzwa viko Dodoma mjini.

    Ni kuanzia elfu Tshs 2000. Kifaranga chenye siku nyingi zaid ndivyo bei inazid kupanda pia
  13. L

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu bora ya Chotara vinauzwa viko Dodoma mjini.

    Bei iko hapo chini... Kwa maelezo zaid. Tupigie kwa namba zetu. 0755212988 au 0754595780
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu bora ya Chotara vinauzwa viko Dodoma mjini.

    Bei ya Kifaranga cha chini ya wiki 1 ni Tshs elfu 2000. Kifaranga cha wiki 1 hadi wiki na nusu ni 2500.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu bora ya Chotara vinauzwa viko Dodoma mjini.

    Ni Dodoma mjini... Maeneo ya shule ya msingi Mlezi karibu na Kota za Hazina
Back
Top Bottom