Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama vile:-
WAKATI WA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI
Kila kitu kinaanzia hapa ambapo kijana anaanza safari ya...
Hongera kwa mkala yako, mawazo yako ni mazuri na yenye manufaa. Viongozi wanapaswa kuamin kua bima ya afya ni kipaumbele cha nguvu kazi ya taifa, mfuko lazima uwe imara. Viongozi wanapaswa pia kukusanya mawazo nyanja mbali ikiwemo wanaopata huduma. Historia huchangia kujua tatizo limeanzia wapi...
Nimependa makala yako ndugu, iko vizuri. Pia nipo wazo. Wakati wa kuiandaa hii ni vyema ukatumia vicha vya habar vido vidog ili kumfanya mtu mwengine awe rahis kuisoma. Badala ya kuiandika moja kwa moja. Kwa style hio mtu anaweza kuisoma kwa haraka na kuifahamu zaidi. Lakini bado sijafahamu...
Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama vile:-
WAKATI WA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI
Kila kitu kinaanzia hapa ambapo kijana anaanza safari ya...
Taasisi za elimu lazima zipime uwezo na ujuzi wa wanafunzi na sio kumbukumbu zao. Leo hii mitihani inawasukuma wanafunzi kuhifadhi topic zaidi ili wapasi mitihani yao badala ya kupima ujuzi wao wanaoupata.
Matokeo yake wahitimu wanakua na vyeti vizuri lakini uwezo wa ujuzi unakua mdogo. Ndio...
Mfumo wa elimu haumuandai mhitimu kutimiza ndoto kwa kiasi kikubwa, hii ni kutokana na kuwepo kwa mzunguko mkubwa wa kusoma kama vile.
Wakati wa Elimu ya msingi na sekondari: Kipindi hichi kinaweza kumfikisha kijana miaka 15 hadi 20. Huku ni kumchelewesha kijana kufikia ndoto zake mapema. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.